Download MP3 Martha Mwaipaja Muhukumu Wa Haki (9.77 MB) - Top Song
Top Song

Martha Mwaipaja Muhukumu Wa Haki

Download Martha Mwaipaja Muhukumu Wa Haki MP3 For Nothing in Top Song uploaded by Martha Mwaipaja. The martha-mwaipaja-muhukumu-wa-haki have 2023-02-08 04:33:08 and 9.77 MB. Details of Martha Mwaipaja - Muhukumu wa haki (Official Music Video) MP3 check it out.

Martha Mwaipaja - Najulikana Mbinguni

Martha Mwaipaja - Najulikana Mbinguni

6.73 MBMartha Mwaipaja

Wakati wengine wanafurahia kujulikana duniani na kuwa maarufu sisi tuliokoka tunajivunia kujulikana mbinguni kwa Baba yetu.Usiangaike kutafuta umaarufu kwa watu fanya bidii sana katika kumjua Mungu aliyekuumba na hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni.#Najulikana#MarthaMwaipaja#MusicVideo

Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe

Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe

10.51 MBMartha Mwaipaja

Ukiwa kama ndugu wa karibu kutizama wimbo wangu unaokwenda kwa jina la sipiganagi mwenyewe Mungu akubariki.#MarthaMwaipaja#SipiganagiMwenyewe#MusicVideo.

Martha Mwaipaja - Amenitengeneza

Martha Mwaipaja - Amenitengeneza

9.2 MBMartha Mwaipaja

Amenitengeneza ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna Mungu alivyo waajabu kwenye maisha yetu kila inappitwa leo.Chukua muda huu kumwambia Mungu asante kwa kukutengeneza vile ulivyo. #MarthaMwaipaja#Amenitengeneza#OfficialVideo

Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu

Martha Mwaipaja - Maumivu Ya Jaribu

8.56 MBMartha Mwaipaja

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake. #MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo

About Martha Mwaipaja - Muhukumu wa haki

Muhukumu wa haki ni wimbo wangu unaelezea siku ile ya mwisho itakvyokuwa pale ambapo watakatifu watasimama mbele ya Muhukumu wa haki ambaye ni Mungu Baba ,swali la kujiuliza,Je wewe umejiandaje siku ikifika ya unyakuo wako? kuendelea kupata mfululizo wa video zangu usishau kusubscribe channel yangu hii.
#MarthaMwaipaja#MuhukumuWaHaki#OfficialMusicAudio